|
1341.
Prophecy given to Raymond Aguilera on 30 May 1999 at 2:30 PM. in Spanish. All is ready My son, all is to the point. Yes, all is going to go well. The day has arrived that the baby is going to bite the Hand, the Hand that gives him food. Yes! Here comes the day, but all is in My Hands. |
1341. Unabii aliopewa Raymond Aguilera tarehe 30 Mai 1999, saa 8:30 mchana katika lugha ya Kihispaniola. Yote yako tayari Mwanangu, yote yamewadia. Ndiyo, yote yataenda salama. Siku imewadia ambako mtoto atakapo enda kuuma Mkono, Mkono ule unaompa yeye chakula. Ndiyo! Hiyo inakuja siku, lakini yote yako Mikononi Mwangu. |
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )