|
1342. Occurrence given to Raymond Aguilera on 9 June 1999. Letter to e-mail list: Hello Brothers and Sisters, I will be leaving for Finland on the 10 July 1999 and then meet Carl and Mark on the 19 July in Zurich, and then the three of us will fly from there to Israel. I will be in Finland for 7 days setting up a computer for Eva. She has quit her job and she is going to translate the Prophecy Book into the Finnish language. She has already begun and she will do as much as she can for one year. She has been doing the translation work on a 10-15 year old Mac. So after putting it to prayer the Lord has given the OK to buy a computer and Internet service for her to do this work. Also, I could use more prayers. I am only 4 weeks away from leaving for Finland and the spiritual warfare is steadily increasing. I am still having a hard time sleeping and I am finding a very small amount of blood in my salvia in the morning. My stomach is acid at times, my throat is sore, and my blood pressure is border line high. Also for the past few days my left arm has develop some kind of skin rash. I have been praying to the Lord about this, but my body is still not right. I did not want to spend Israel money for the doctor and lab work, but I did. The doctor does not believe anything is serious, but we are having some blood tests and a x-ray was taken of my chest. I did notice some blood in my salvia when I was in Kiev, Ukraine, but it went away and started again a week ago. Please keep praying for this Israel mission trip. After speaking with Mark few times, he has said he is sensing an increase in the spiritual warfare too. We really do need a strong prayer cover, enough funds, and the strength to keeping us focused during this trip. I should get the results from the lab tests next week and I will be speaking to the doctor then. I guess that is all for now. God bless you all. yours in Christ, ray
|
1342.
Matukio aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 9 Juni 1999. Barua kwa wale walioko kwenye mtandao wa Barua pepe: Wapendwa Kaka na Dada zangu katika Kristo, Mimi nitaondoka kwenda nchini Finland tarehe 10 Julai 1999, na kisha tutaungana na Carl na Mark tarehe 19 Julai kule Zurich, na kisha sisi watatu kwa pamoja tutaondoka kutoka pale kwenda nchini Israel. Mimi nitakuwa Finland kwa muda wa siku 7 nikiwa nina mwunganishia Eva kompyuta. Yeye ameamua kuacha kazi yake na ataenda kufanya kazi ya kutafsiri Vitabu vya Unabii huu katika lugha ya Kifinish. Yeye amekwisha anza, na atajitahidi kufanya awezalo kwa mwaka mmoja. Yeye amekuwa akifanya tafsiri katika kompyuta ya aina ya Machintosh Yenye umri wa miaka 10 -15 hivi. Kwa hiyo baada ya kumwomba Bwana maelekezo ya kile cha kufanya, Bwana ametoa kibali kununua kompyuta mpya na tovoti (mtandao wa internet) kwa ajili yake ili afanye kazi hii. Pia, ningependa kupokea maombi yenu zaidi kuhusu jambo hili. Kwa maana mimi nimebakiza wiki 4 tu kabla ya kuanza safari ya kwenda Finland na vita vya kiroho vimeanza kuongeza kasi yake. Mimi bado na pata wakati mgumu wa kupata usingizi, nami napata damu damu kidogo kwenye mate yangu wakati wa asubuhi. Tumbo langu linapata kiungulia mara kwa mara, shingo langu nalo linapatwa na malengelenge, na msukomo wa damu yangu imekaribia kuvuka kiwango cha wastani. Pia kwa siku chache zilizopita mkono wangu wa kushoto umekuwa na aina fulani ya ugonjwa wa ngozi. Mimi nimekuwa nikimwomba Bwana kuhusiana na jambo hilo, lakini bado mwili wangu haujakaa sawa. Mimi nisingelipenda kutumia fedha za safari ya kwenda Israel kwa ajili ya daktari na vipimo vya maabara. Daktari hadhani kama kuna tatizo lolote baya, lakini imetulazimu kufanya uchunguzi wa damu na pia kupiga picha ya X-ray ya kifua changu. Mimi nimewahi kuona damu kwenye mate yangu pale nilipokuwa kule Kiev, nchini Ukraine, lakini ilikuja kukoma na kuanza tena wiki iliyo pita. Tafadhalini endeleeni kuomba kwa ajili ya safari yetu hiyo ya kwenda Israeli. Baada ya kuongea na Mark mara kadhaa, naye amekiri kuwa alikuwa anahisi vita vya kiroho kuongezeka katika ulimwengu wa kiroho pia. Kwa kweli sisi tunahitaji maombi mazito ya kutufunika, pia fedha za kutosha, na nguvu za sisi kuweka umakini wetu katika safari hiyo. Natarajia kupata matokeo ya maabara wiki ijayo na baada ya hapo natarajia kuongea na daktari wangu. Natumaini hayo ni yote kwa sasa. Mungu awabarikini ninyi nyote. Wenu katika Kristo, ray
|
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )