|
1343. Vision given to Raymond Aguilera on 16 June 1999 9:30 PM. During prayer the Lord gave me a vision of a some sort large round cave or pit. Prophecy: Then the Lord said, that inside this pit there were demonic forces, and that He was going to make the entrance to this cave or pit larger so they could come out. ****** Note: 23 June 1999 at 7 AM., The Lord awoke me this morning and instructed me that I forgot to document the Word below in 1342. Vision. Prophecy: The Lord said, "Leviathan". ***** Vision: Then the Lord gave me a vision of a cantaloupe (melon). Then as I watched the cantaloupe I saw the Lord remove a slice from the whole cantaloupe. Then immediately the majority of the cantaloupe disappeared and all that was left was this slice. Prophecy: Then the Lord said, that our Israel mission trip was a slice and only a part of all that was going to take place in Israel. Vision: Then the Lord gave me a vision of the lower quarter of the Eiffel Tower (the arch part) in Paris. Then as I watched, I could see many, many dark demonic spirits moving under the arches or legs of the Eiffel Tower. They were so packed as they moved they could hardly squeeze through the base of the Eiffel Tower. (over) |
1343. Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 16 Juni 1999, saa 3:30 mchana. Wakati wa maombi Bwana alinipa maono ya kitu kama shimo au pango la mviringo kubwa sana. Unabii: Kisha Bwana akasema kuwa, ndani ya pango au shimo hilo kulikuwa na jeshi la mapepo, Naye alikuwa anaenda kuupanua mlango wa pango au shimo hilo ili waweze kutoka nje. ****** Ilani: Tarehe 23 Juni 1999 saa 1 asubuhi, Bwana aliniamsha na kunielekeza lkuwa nilikuwa nimesahau kuandika neno la hapo chini katika maono ya 1342. Unabii: Bwana akasema, "Leviathan". ***** Maono: Kisha Bwana alinipa maono ya tikiti maji ya aina ya cantaloupe. Nilivyozidi kuiangalia tikiti maji hiyo, nilimwaona Bwana akitoa kipande kutoka kwenye tikiti maji hiyo. Kisha tikiti maji hiyo ikatoweka na kubakiza tu hicho kipande kilicho tolewa. Unabii: Kisha Bwana akasema kuwa, safari yetu ya kwenda Israel ni kipande kidogo tu ya sehemu ya yale yatakayo kwenda kutokea kule Israel. Maono: Kisha Bwana alinipa maono ya sehemu ya chini ya mnara wa “Eiffel Tower” (sehemu ile ya nguzo zilizo kutana kabla ya kunyanyua mnara juu) ya Paris. Kisha wakati nikiwa ninaangalia, nilikuwa naweza kuona mapepo wengi wengi sana; wakiwa wanaruka ruka chini ya mnara huo au miguu ya mnara huo uitwao “Eiffel Tower”. Walikuwa wamesongamana kiasi ambacho walikuwa wanashindwa hata kujipenyeza chini ya mnara huo wa “Eiffel Tower”. (Mwisho).
|
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )