1350. Vision given to Raymond Aguilera on 2 July 1999 at 10 PM.

Vision:

A vision of a cross being erected with someone on it. The cross was in the shape of the letter "T". I could see ropes tied to it and being pulled as the cross was being set in place.

Vision:

Then I saw a vision of the Foot of God coming down from heaven and stepping on top of a wooden cross and shattering it to pieces as it was driven into the ground.

Vision:

Then I saw another vision of a cross. This one was in the shape of the traditional looking cross. It was smaller and again the Foot of God came down except this time the cross was driven completely into the ground.

Vision: Then I saw a vision of a serpent with a stick in a horizontal position in its mouth where it could not swallow anything. It reminded me of a dog carrying a stick its mouth. (over)

1350. Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 2 Julai 1999, saa 4 usiku.

Maono:

Maono ya msalaba uliokuwa unasimamishwa ukiwa na mtu aliyekuwa amewambwa juu yake. Msalaba huo ulikuwa na umbo la herufi "T". Mimi nilikuwa naweza kuona kamba zilizofungwa kwenye msalaba huo zikiwa zinavutwa ili kuuweka msalaba huo kwenye sehemu yake.

Maono:

Kisha nikaona maono ya Mguu wa Mungu ukiwa unatoka Mbinguni na kuukanyaga msalaba huo na kuupasua vipande vipande, wakati ulipokuwa unasimikwa na kuimarishwa katika sehemu yake ardhini.

Maono:

Kisha mimi nikaona maono mengine ya msalaba. Msalaba huo wa pili ulikuwa na sura ya ule msalaba tuliouzoea kuuona. Ulikuwa ni mdogo, na tena kwa mara nyingine Mguu wa Mungu ukaja kutoka Mbinguni, ila kwa safari hii msalaba huo ulikanyagwa na kuzamishwa ardhini wote.

Maono: Kisha mimi nikaona maono ya joka akiwa na fimbo mdomoni mwake iliyokaa kwa usawa ambayo ilikuwa inamfanya asiweze kumeza kitu chochote. Ilinikumbusha jinsi mbwa anavyofanya anapobeba fimbo. (Mwisho).

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.