|
1354. Vision given to Raymond Aguilera on 14 July 1999 5:15 AM. During prayer the Lord showed me a field with many dead farm workers (men and women) were on the ground with their tools still in their hands. The ground was still barren with nothing growing. By their white clothes and hats they looked like they were from Mexico or South America. I do not know if something in the ground or in the air killed them. (over) Vision: A vision of a fish but the head had been cut off and both were on the plate. |
1354. Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 14 Julai 1999, saa 11:15 asubuhi. Wakati wa maombi Bwana alinionyeshea maono ya shamba lililokuwa limejaa miili ya wafanyikazi waliokufa wa shambani (wanaume kwa wanawake) walikuwa wamelala shambani na zana zao za kufanyia kazi zilikuwa bado ziko mikononi mwao. Ardhi ilikuwa bado ni jangwa (haina mazao) na hakuna lolote lililo kuwa linamea. Kwa kuangalia mavazi yao myeupe walikuwa wanaonekana kama watu kutoka Meksiko au Amerika ya Kusini. Mimi bado sifahamu kama kitu kilicho waua kilitoka ardhini au angani. (Mwisho). Maono: Maono ya samaki, lakini kichwa chake kilikuwa kimekatwa na vyote (kichwa na kiwiliwili) vilikuwa vimewekwa kwenye kisahani.
|
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )