1355. Vision given to Raymond Aguilera on 15 July 1999 at 3:20 AM.

The Lord gave me a vision of the sky filled with locusts. I could see many birds eating the locusts, but the birds were greatly out-numbered. The locusts just filled the ground and the sky. (over)

1355. Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 15 Julai 1999, saa 9:20 usiku.

Bwana alinipa maono ya anga likiwa limefunikwa na nzige. Mimi nilikuwa naweza kuona ndege wengi wakiwa wanawala hao nzige, lakini hao ndege walikuwa wamezidiwa sana. Nzige hao walijaza ardhi pamoja na anga. (Mwisho).

 

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.