1356. Vision given to Raymond Aguilera on 15 July 1999 at 5:54PM.

During prayer for a man that had been hit with a baseball bat, the Lord gave me a vision of a river. One side of the river was evil with darkness and on the other side there was goodness and righteousness. Then the Lord showed me a narrow bridge connecting the two banks.

Then the Lord said, "That is why I came. I am the bridge between good and evil. That is the way it is." (over)

 

1356. Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 15 Julai 1999 saa 11:54 jioni.

Wakati wa maombi kwa ajili ya mtu fulani aliyekuwa amegongwa na gongo la kupigia mpira wa magongo, Bwana alinipa maono ya mto. Upande mmoja wa mto ulikuwa ni wenye uovu na giza nene na upande wa pili ulikuwa ni wa mema na uadilifu. Kisha Bwana alinionyeshea daraja nyembamba ikiwa inaunganisha kingo hizo mbili.

Kisha Bwana akasema, "Hiyo ndiyo maana Mimi nilikuja. Mimi ni daraja kati ya mema na maovu. Hivyo ndivyo iliyo." (Mwisho).

 

 

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.