1357. Vision given to Raymond Aguilera on 19 July 1999 at 1:15 AM.

The Lord gave me a vision of a large serpent, which was 50 feet in diameter with its mouth open. I could see its large fangs and its mouth was kept open with a vertical 50 foot long post, which was placed inside the serpent's mouth the post went from the roof of its mouth to bottom of its mouth. Now that the serpent's mouth was safely fasten open, then I saw this man walked inside the serpent's mouth and began to shoot inside the serpent's mouth with some sort of weapon.

Note: I believe it was Adam from the Book of Genesis. (over)

Vision: I see a self-standing bathtub filled with water. I can also see a wire fence of some sort around the bathtub. This fence is only a few inches from the edge of the bathtub.

Vision: I saw a vision of a horse's nose and the horse's nose has a ring in it. (over)

Vision: I saw a city - I believe it is in America, but I am not really sure. I can see this city with a dark sky and lighting is striking over head, almost as if a tornado was going to strike. It looks very dangerous in this place. (over)

Vision: Now I can see high into a strange looking sky. For some reason I keep thinking about how the veil was torn in the Temple when Christ died on the Cross. The sky seems to just open up and then this White Light appears. (over)

Vision: I see a large propeller, the kind you would see on a large ship. Then next image is of a small boat with its propeller spinning in the water. (over)

Prophecy: Then the Lord said, "The saber tooth tiger has bitten the tail of the rat." (over)

Vision: I see an image of a baby Ostrich walking backwards.

Vision: I see a grasshopper or locus jumping on the outside of a windowsill and looking inside. But I can see that this grasshopper has its front and rear legs missing on the right side. (over)

 

1357. Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 19 Julai 1999 saa 7:15 usiku.

Bwana alinipa maono ya joka fulani mkubwa, ambaye alikuwa na unene wa kiasi cha futi 50 na mdomo wake ukiwa uko wazi. Mimi nilikuwa naweza kuona meno yake ya sumu na mdomo wake huo ulio kuwa umefunguliwa kwa nguzo iliyokuwa na urefu wa futi 50, ambayo ilikuwa imewekwa kwenye mdomo wa joka hilo, ambako nguzo hiyo ilianzia kwenye mdomo wake wa chini hadi mdomo wa juu. Sasa baada ya mdomo wa joka hilo kuwekwa wazi na kuwa usalama, mimi nikaona mtu fulani akiingia kwenye mdomo huo na kuanza kuufyatua kitu kama risasi kwa kutumia silaha ya aina fulani.

Ilani: Mimi na amini kuwa huyo alikuwa ni adamu wa kitabu cha Mwanzo. (Mwisho)

Maono: Mimi naona baseni ya kuogea kubwa. Nami pia naona waya wa fensi wa aina fulani ukiwa umezungushiwa beseni hiyo ya kuogea. Fensi hiyo ilikuwa iko inchi chache tu nje ya beseni hiyo ya kuogea.

Maono: Mimi niliona maono ya pua ya farasi na pua ya farasi huyo ilikuwa na bangili. (Mwisho).

Maono: Mimi niliona jiji – mimi naamini ni mmoja ya jiji lililoko kule Amerika, lakini kwa kweli mimi sina uhakika. Mimi naona jiji hilo likiwa gizani na mwanga kama wa radi ukawa unapiga kwa juu yake, utadhania ni kimbunga kilikuwa kinaenda kuipiga. Ilikuwa inaonekana kuwa seheumu hiyo ilikuwa ni sehemu ya hatari kubwa sana. (Mwisho).

Maono: Sasa naweza kuona juu sana kwenye mawingu yaliyo na sura ya ajabu. Kwa sababu ambayo mimi siielewi nilianza kupatwa na mawazo ya jinsi ile pazia iliyokuwa kwenye Hekalu; ilivyo pasuka pale Kristo alipofia Msalabani. Kwa ghafla anga ilikuwa inaonekana kupasuka na mwanga mweupe mara ukaonekana. (Mwisho)

Maono: Mimi naona panga boyi kubwa sana, aina ambayo unaweza kuiona kwenye meli kubwa. Kisha maono yaliyofuta yalikuwa ni ya mtumbwi mdogo ukiwa na panga boyi iliyokuwa inazunguka kwenye maji. (Mwisho).

Unabii: Kisha Bwana akasema, "Yule chui wa asia wa aina ya taiga ameuma mkia wa panya." (Mwisho).

Maono: Mimi naona maono ya kinda la Mbuni akiwa anatembea kinyumenyume.

Maono: Mimi naona panzi au nzige akiwa anaruka nje ya dirisha lililofungwa na akiwa anaangalia ndani. Lakini mimi naona panzi huyo alikuwa hana miguu yake ya mbele na nyuma ya upande wake wa mkono wa kulia. (Mwisho).

 

 

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.