|
1421. Vision given to Raymond Aguilera on 15 November 1999 at 6:20 AM. The Lord gave me a vision of a whirlwind with a drinking straw in the middle.
Vision: Then the Lord gave me a vision of His Hand catching one fish then two fish. (over)
Note: I sensed in the spirit that these two visions were related. That whatever Christian died in the whirlwind, the Lord was going to catch them. |
1421. Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 15 Novemba 1999 saa 12:20 alfajiri. Bwana alinipa maono ya kimbunga na mrija wa kunyonyea ukiwa katika kati yake.
Maono: Kisha Bwana alinipa maono ya Mkono Wake, akiwa anamkamata samaki mmoja, kisha wa pili. (Mwisho).
Tahadhari: Mimi nilipatwa na hisia kuwa maono hayo yote mawili yanauhusiano. Ya kuwa Mkristo yeyote ambaye atakufa kwenye kimbunga hicho Bwana ataenda kumkamata (kumwokoa).
|
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )