1425. Vision given to Raymond Aguilera on 21 November 1999 at 11:00 AM.

During church service at my friend Carl's church in San Francisco the Lord gave me a vision of a scratched record, playing on a record player.

Vision:

I saw a vision of a sundial.

Vision:

I saw a vision of a Fire hydrant.

Vision:

I saw a vision of a foot, with some toes missing.

Vision:

I saw a vision of a flash shield from a flash camera.

Vision:

I saw a vision of the planet earth with a thin engagement ring around it.

1425. Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 21 Novemba 1999, saa 5:00 asubuhi.

Wakati wa misa kwenye kanisa la rafiki yangu Carl kule San Francisco Bwana alinipa maono ya santuri iliyo kuwa imekwaruzika ikiwa inapigwa kwenye mashine ya kupigia santuri.

Maono:

Mimi niliona maono ya “sundial”.

Maono:

Niliona maono ya mtambo wa maji wa kuzimia mito.

Maono:

Niliona maono ya mguu uliokuwa hauna baadhi ya kucha.

Maono:

Niliona maono ya ngao ya kupeleka mwanga wa flashi ya kamera.

Maono:

Niliona maono ya sayari ya dunia ikiwa na pete nyembemba ya uchumba kuizunguka.

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.