|
1430. Occurrence given to Raymond Aguilera on 9 December 1999 at 8:15 PM. While praying at my father's bedside in the hospital minutes after he had just died, the Lord gave me this Word. Prophecy: The Lord said to me, "Your father is a good man and he will be in Heaven with Me, but there are many good men in South America also. I want you to go South America and Anoint it. So saith it Jehovah. So saith it Jesus Christ. So saith it the Holy Spirit. For many people are going to die in South America and I WANT THAT GROUND ANOINTED! This is your Loving Father Jehovah, Jesus Christ, and the Holy Spirit." (over) |
1430. Matukio aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 9 Desemba 1999, saa 2:15 usiku. Wakati nikiwa naomba karibu na kitanda cha Baba kwenye hospitali, dakika chache baada ya yeye kufariki dunia tu, Bwana alinipa Neno hili. Unabii: Bwana aliniambia, "Baba yako ni mtu mwema na atakuwa Mbinguni pamoja Nami, Lakini kuna watu wengi walio wazuri kule Amerika ya Kusini pia. Mimi nataka wewe uende Amerika ya Kusini na kuiweka Wakfu. Hivyo ndivyo asemavyo Yehova. Hivyo ndivyo asemavyo Yesu Kristo. Hivyo ndivyo asemamvyo Roho Mtakatifu. Kwa maana watu wengi sana wanaenda kufa kule Amerika ya Kusini, NAMI NATAKA ARDHI YAKE ILE IWEKWE WAKFU! Huyu ni Baba yako Mpendwa Yehovah, Yesu Kristo, pamoja na Roho Mtakatifu." (Mwisho).
|
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )