|
1431. Occurrence given to Raymond Aguilera on 10 December 1999 at 7 PM. I was leaving the bathroom and I had a strong sense of the presence of my father, Reymundo Sr., and I said, "How are you doing papa?" And my father said, "Muy bien, muy bien" ("Very well, very well".). |
1431. Matukio aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 10 Desemba 1999, saa 1 usiku. Mimi nilikuwa natoka bafuni nami nikawa na hisia kali ya uwepo wa baba yangu, mzee Reymundo nami nikasema, "Unaendeleaje Baba?" Naye baba akasema, "Muy bien, muy bien" ("Vizuri sana, vizuri sana"). |
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )