|
1436. Vision given to Raymond Aguilera on 29 December 1999 at 1:30 AM. During prayer the Lord gave me a vision of His left Eye. As I looked deeply into His pupil, I saw a small-reflected white dot. This reflection was what He was looking at behind me. I cannot explain it, but somehow the Lord was showing me all the stars, worlds and galaxies that He ever made, wrapped-up in this little white dot. As I looked closely into His Eye, I could see this massive deep black void around this very, very small white dot in His left eye. It was frightening, for this gave me some idea of the magnitude of God in relation to all the universes that we believe we know. A very strange, but yet very powerful vision of God, being way beyond what we would ever think. (over) |
1436. Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 29 Desemba 1999, saa 7:30 usiku. Wakati wa maombi Bwana alinipa maono ya Jicho lake la kushoto. Nilivyo zidi kuiangalia hadi ndani ya mtoto wa Jicho Lake hilo, niliweza kuona kitu kama nukta iliyo kuwa inameremeta kama mwangwi. Huo mwangwi wa nukta ulikuwa ni kitu alicho kuwa anakiangalia nyuma yangu. Nashindwa njisi ya kuielezea ilivyo, lakini kwa namna fulani Bwana alikuwa akinionyeshea nyota zote, dunia na matangamano (galaxies) yote ambayo alikuwa ameiumba na kuyafunika kwenye hicho kinukta cheupe. Nilivyo zidi kuiangalia ndani ya Jicho Lake hilo, nilikuwa naweza kuona eneo hilo lililo kuwa utupu mkubwa sana ambayo ilikuwa inaizunguka hiyo nukta ndogo sana sana nyeupe iliyokuwa ndani ya Jicho Lake la kushoto. Ilikuwa inatisha, kwa maana hiyo ilinipa wazo la Ukuu wa Mungu ikilinganishwa na Malimwengu yote tunayo dhania kuifahamu. Maono ya ajabu sana, lakini yenye nguvu kubwa ya kuonyesha Ukuu wa Mungu, ambaye yuko juu ya yote yale tunayo weza kuyawazia. (Mwisho).
|
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )