|
1437. Vision given to Raymond Aguilera on 6 January 2000 at 4:10 PM. I had a vision of a nuclear reactor meltdown or not functioning properly, for I could see radiation going into the air. I do not know how I could see this, for a person cannot see radiation in the sky. (over) |
1437. Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 6 Januari 2000 saa 10:10 mchana. Mimi niliona maono ya mtambo wa wa kufua nguvu za kinuklia; ambao ulikuwa umeyeyuka au ambao haufanyi kazi sawasawa, kwa maana mimi nilikuwa naweza kuona mionzi yake ikijichomoza kwenda angani. Mimi sijui ilikuwa namna gani hadi nikawa naweza kuona hayo, kwa maana kwa kawaida mtu huwa hawezi kuona miozi angani. (Mwisho). |
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )