1440. Vision given to Raymond Aguilera on 18 January 2000.

During prayer the Lord showed me a white horse with a beautiful jeweled bridle.

Then the Lord said, "The horse needs the bridle!"

Then I saw the horse shake its head from side to side.

Then the Lord said with a stern Voice, "The horse needs the bridle. The horse needs the bridle!" (over)

1440. Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 18 Januari 2000.

Wakati wa maombi Bwana alinionyeshea farasi mweupe akiwa na hatamu nzuri zilizopambwa kwa vito vya dhamani.

Kisha Bwana akasema, "Farasi anahitaji hatamu!"

Kisha mimi nikamwona farasi akiwa anatingisha kichwa chake kutoka upande huu hadi ule.

Kisha Bwana akasema kwa Sautii kali, "Farasi anahitaji hatamu. Farasi anahitaji hatamu!" (Mwisho). 

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.