|
1441. Vision given to Raymond Aguilera on 21 January 2000. During prayer I saw this white light move over the planet like a flame, but it looked like a white light. Vision: Then I saw this vacuum hole in the sky and it was sucking objects into the sky. (over) |
1441. Unabii aliopewa Raymond Aguilera tarehe 21 Januari 2000. Wakati wa maombi mimi niliona mwanga mweupe; ukiwa unatembea juu ya sayari kama moto, lakini ulikuwa unaonekana kama mwanga mweupe. Maono: Kisha mimi nikaona shimo fulani ambalo linautupu (vacuum) angani na ilikuwa inavuta vitu angani. (Mwisho). |
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )