1442. Vision given to Raymond Aguilera on 23 January 2000.

During prayer I saw a brown saddle being placed on a white horse. As I looked at this horse, I remembered the white horse I saw a few days earlier. This white horse was wearing a golden and jeweled bridle, but what looked like some kind of metal horn was attached to the forehead of the horse. Maybe the bridle was used to hold it in place, but I could not see this from where I was viewing this vision. Then I saw myself climbing on the brown saddle and onto the white horse and carrying this long shiny sword. As I looked at myself on this horse, I noticed this white horse was ready for battle, for it was wearing some kind of battle gear too. I kept looking at this and saw myself ride the horse to this embankment overlooking this valley, but I was not allowed to see into the valley below. Then the vision stopped. (over)

1442. Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 23 Januari 2000.

Wakati wa sala mimi niliona kamba za miguu za rangi ya udogo zikiwa zinawekwa juu ya farasi fulani mweupe. Nilivyozidi kumwangalia farasi huyo, nilimkumbuka farasi yule mweupe niliyemwona siku chache zilizopita hapo nyuma. Farasi huyo mweupe alikuwa amevaa hatamu ya rangi ya dhahabu iliyopambwa kwa vito vya dhamani, lakini kulikuwa na kitu kilichowekwa kwenye panda la uso wa farasi huyo kilichokuwa kinaonekana kama honi. Labda ya kilikuwa ni kishikizio kilicho shikiza hatamu zile, lakini mimi nilikuwa nashindwa kukiona kutoka mahali pale; nilipokuwa naangalia Maono hayo. Kisha mimi nikaona mwenyewe nikiwa napanda juu ya kamba hizo za rangi ya udongo na kukwea juu ya farasi huyo na nikiwa nimechkua upanga fulani mrefu uliokuwa unameremeta. Nilivyokuwa nazidi kujiangalia mwenyewe nikiwa juu ya farasi huyo; nikaona farasi huyo akiwa tayari kwa vita, kwa maana alikuwa amevaa zana za vita pia. Mimi nilivyozidi kuangalia hayo; nikaona nikimwendesha farasi huyo hadi kwenye ukingo uliokuwa unatazamana na bonde lililokuwa hapo chini. Kisha Maono hayo yakakoma. (Mwisho).

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.