1445. Vision given to Raymond Aguilera on 27 January 2000 at 1 AM.

During prayer the Lord showed me a fish swimming in water and as I watched the fish, I saw this black arrow strike the fish in the side. I saw the arrow actually go right through the fish and come out on the other side, but the fish just kept swimming as if nothing had happened. Then the black arrow turned around and hit the fish again and again, but again, this had no effect on the fish and the fish kept swimming. (over)

1445. Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 27 Januari 2000, saa 7 usiku.

Wakati wa maombi Bwana alinionyeshea Maono ya samaki; akiwa anaogelea katika maji na wakati nikiwa ninamwangalia samaki huyo, niliona mshale mweusi ukiwa unampiga samaki huyo ubavuni. Mimi niliona mshale huo ukiwa unaingia ndani ya samaki huyo na kupita upande wa pili yake, lakini samaki huyo yeye aliendela kuogelea kana kwamba hapa kuwa na lolote lililo tendeka. Kisha mshale ule mweusi ukazunguka na kugeuka na kumshoma samaki yule tena na tena, lakini kuchomwa chomwa huko haikuwa na madhara kwa samaki huyo na samaki huyo akaendelea tu kuogelea. (Mwisho).

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.