|
1448. Vision given to Raymond Aguilera on 3 February 2000 at 3 PM. During prayer the Lord showed me a vision of a bald eagle (American Eagle) on a mountaintop, and I could see that the eagle had a round ball in its mouth. But as I looked closer, I saw it was a Communion wafer or a Communion host. The Communion host was as large as a pizza, maybe even larger, or maybe as large as a round table. Then I could see small bites being eaten off of it. They looked like bites people would make. I could not see the people, but you could see that the Communion host was being eaten, and it was eaten all up. Prophecy: Then the Lord said, "It is I. I am going to stretch you, Ray." Then the Lord showed me something like gum being stretched. Then the Lord said, "It is I." (over)
|
1448. Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 3 Februari 2000 saa 9 mchana. Wakati wa maombi Bwana alinionyeshea maono tai uliyekuwa na upara (Tai wa Ki-Amerika) akiwa juu ya mlima, na nilikuwa naweza kuona kuwa tai huyo alikuwa na kitu kama mpira mkubwa wa mviringo mdomoni mwake. Lakini, nilivyozidi kumwangalia kwa ukaribu, mimi nilitambua kuwa ilikuwa ni Mkate wa Komunio. Mkate huo wa kumunio ulikuwa ni mkubwa kama chapati ile ya aina ya piza, labda inawezekana kuwa ilikuwa ni kubwa kama meza ya mviringo. Kisha mimi nikaona vipande vidogo vidogo vikiwa vina liwa. Utadhania kama kilikuwa kinang’atwa na watu. Mimi nilikuwa sioni watu hao, lakini nilikuwa naweza kuona kipande hicho cha Komunio kikiwa kinaliwa na mara kipande hicho chote kikawa kimemalizikaa. Unabii: Kisha Bwana akasema, "Ni Mimi. Mimi nitaenda kukufundisha wewe, Ray.” Bwana alinionyeshea kitu fulani kama gamu au B-gee kikiwa kinavyutwa. Kisha Bwana akasema, "Ni Mimi." (Mwisho). |
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )