|
1449. Vision given to Raymond Aguilera on 3 February 2000 at 7 PM. During prayer at seven o'clock these visions came like a slide show. It was while binding and rebuking spirits that I had these visions. Visions: A wolf - changes to a bat - then a frog - then a bear. The bear was tied around the shoulders and was pulled up. Then another bear replaced that bear, and it had a brown head and chest. The bear's head looked like an American bear, but it also looked like a panda bear, or had the colors of a panda bear. A strange looking bear. Then the ground (the spiritual ground) began to shake. Vision: Big scissors moving in a cutting motion. Vision: Then I saw a blond woman's long single braid being cut in the middle. Vision: Then I saw a hammer hitting a nail. Prophecy: "I'm going to give you this woman." Vision: I saw a butterfly, and it changed into a dragonfly. (over) Vision: I saw a stick that was being bent into a curve, like a bow. Vision: I saw a vision of some sort of a robot changing into a human skeleton. I saw it swimming under the water, and the water looked like an ocean. Vision: Then I saw a vision of the Eiffel Tower, and the Eiffel Tower exploded. Vision: Then the Lord showed me a vision of a communication tower that physically extended high into space from New York onto Europe, and the third leg looked like it was placed in Africa, but I am not sure. I did not see where the forth leg was placed, because the vision happened so fast. Vision: During prayer I saw a vision of a rabbit that was laying next to the trunk of a large tree. Then a dog came from behind the rabbit, and bit the rabbit around the middle of its body, and ran away with the dead rabbit in its mouth. It looked like the rabbit was instantly killed. (over) |
1449. Maono
aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 3 Februari 2000 saa 1 jioni. Wakati wa maombi ya saa mmoja asubuhi, maono haya yalinijia kwa mafululizo kama kwenye maonyesho ya sinema. Yalitokea wakati ule nilipokuwa ninawafunga na kuwakemea mapepo. Maono: Nilimwona mbwa mwitu na – akageuka kuwa popo – kisha akawa chura – kisha akawa dubu. Dubu huyu alikuwa amefungwa kwenye maeneo ya mabegani yake na alikuwa anavutwa. Kisha dubu mwingine akachukua nafasi ya huyo dumu wa kwanza, na alikuwa na kichwa na kifua chenye rangi ya udongo. Kichwa cha dubu huyo ilikuwa inaonekana kama ni ya dubu wa Amerika, lakini pia alikuwa naonekana kama dubu wa aina ile iitwayo ‘panda’ au alikuwa na rangi ya dubu wa aina ya panda. Dubu huyu alikuwa ni mwenye rangi ya ajabu. Kisha ardhi (ardhi ya kiroho) ikaanza kutikisika. Maono: Mkasi mkubwa ukawa unapita huku ukiwa kama unakataka kitu fulani. Maono: Kisha nikaona nywele iliyofumwa kama kamba ndefu za mwanamke ya rangi ya dhahabu ikiwa inakatwa katikati. Maono: Kisha nikaona nyundo ikitwanga msumari. Unabii: "Mimi nitaenda kukupa wewe mwanamke." Maono: Mimi niliona kipepeo, na mara akageuka na kuwa keregende (dragonfly). (Mwisho). Maono: Niliona fimbo iliyokuwa inakunjwa na kupindwa na kuwa na mfano wa uta. Maono: Niliona maono ya kitu kama roboti ikiwa inabadilika na kuwa kama mtu mwenye mifupa mitupu. Mimi nilimwona akiwa anaogelea chini ya maji, na maji hayo yalikuwa yanaonekana kama ni maji ya bahari. Maono: Kisha nikaona maono ya Mnara wa Eiffel, na Mnara huo wa Eiffel ulilipuka. Maono: Kisha Bwana akanionyeshea maono ya mnara wa kuwasiliana ambao ulipanda hadi kwenye anga za juu na miguu yake yakiwa yamekanyaga mmoja New New York, mmoja Ulaya na wa tatu Afrika, lakini mimi sina uhakika. Mimi sikiweza kuona mguu wa nne ulikanyaga wapi, kwa maana maono hayo yalikuja na kupita haraka sana. Maono: Wakati wa maombi niliona maono ya sungura ambaye alikuwa amejilaza chini ya shina la mti fulani mkubwa. Kisha mbwa akaja kutoka nyuma ya sungura huyo, na kumng’ata sungura huyo kwenye katikati ya mwili wake, na kukimbia na sungura huyo aliyekuwa amekufa akiwa amembeba kwa meno yake. Ilikuwa inaonekana kama sungura huyo alikufa mara mmoja. (Mwisho). |
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )