|
1453. Vision given to Raymond Aguilera on 16 February 2000, at 7 PM. The Lord showed me a vision of an old man. He was wearing a hat. On top of the hat there was an upside down metal bucket. Then I saw on top of the hat a chicken, and the chicken laid an egg. I sensed the man was Uncle Sam of the United States. |
1453. Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 16 Februari 2000, saa 1 jioni. Bwana alinionyeshea maono ya mwanaume mzee. Alikuwa amevaa kofia. Na juu ya kofia hiyo kulikuwa na ndoo ya chuma iliyokuwa kichwa chini. Kisha nikaona juu ya kofia yake kuku, na kuku huyo alitaga yai. Mimi nilipatwa na hisia ya kuwa huyo mzee alikuwa ni Mjomba Sam (Uncle Sam) wa Amerika. |
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )