1454. Prophecy given to Raymond Aguilera on 16 February 2000 at 7:36 PM.

The Lord gave me one Word, and He repeated it 86 times, the Word was Seed (Seed, Seed…).

The Lord kept saying it over and over, and I asked the Lord how many times He had said it, and He said, 86 times.

Vision:

Then the Lord gave me a vision of a flatbed truck, with one of those large rolls of hay or alfalfa on the flatbed truck. The roll was placed behind the driver's cab or in front of the truck bed. As I watched this large alfalfa roll, it began to unroll, and left a blanket of alfalfa extending from the back of the truck onto the ground, and unrolled as far as the eye could see. This unrolled alfalfa seemed to have no end (it unrolled, and never ran out of alfalfa). (over)

Vision:

Then the next vision was of an army tank, with a moving cannon, and the cannon began to get red at the base, as it moved from right to the left.

Vision:

I saw a vision of two smoke stacks, the kind you see on ships. The one behind almost got knocked off, but something put it back in place.

 

1454. Unabii aliopewa Raymond Aguilera tarehe 16 Februari, 2000 saa 1:36 jioni.

Bwana alinipa Neno mmoja ambalo alilirudia mara 86, Neno hilo lilikuwa ni Mbegu (Mbegu, Mbegu…).

Bwana aliendelea kusema Neno hilo tena na tena, nami nikamwuliza amerudia kusema hivyo mara ngapi, naye akasema ni mara 86.

Maono:

Kisha Bwana alinipa Maono ya lori lililo kuwa wazi kwa nyuma (flatbed truck), ikiwa ina majani yaliyo viringishwa katika rundo kubwa iliyoviringishwa kwa mfano wa tairi, na rundo hilo lilikuwa ni la majani ya ‘hay’ au ‘alfa alfa’ ikiwa juu ya lori hilo. Majani hayo yaliyoviringishwa yalikuwa nyuma tuu ya sehemu ya driva, au mbele tu ya kwenye bodi ya lori hilo. Nilipokuwa ninaangalia mara rundo hilo la majani likaanza kujikunjua, na blanketi hilo la rundo la majani ya alfa alfa, ilijitandaza ardhini na kujikunjua kwa umbali wa upeo wa macho kuona. Rundo hilo la majani ya alfa alfa ilikuwa inajikujua na ilikuwa inaonekana kuwa haikuwa na mwisho (majani hayo yalikuwa yanajikunjua na yalikuwa yanaonekana kama hayana mwisho). (Mwisho).

Maono:

Maono yaliyofuta yalikuwa ni ya kifaru cha kijeshi, kikiwa na mzinga ulio kuwa unazunguka, na mzinga huo mara ukaanza kuwa mwekundu kwa chini; wakati ukiwa unazunguka kutoka kulia kwenda kushoto.

Maono:

Niliona maono ya chemni au bomba la kutoa moshi kama ile ya meli zikiwa mbili. Chemni ile iliyokuwa nyuma mara ikawa inaonekana kugongwa na kuangushwa; lakini kitu fulani kikairudisha mahali pake.

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.