|
1457. Vision given to Raymond Aguilera on 16 February 2000 at 10:55 PM. I had a vision of a pocket watch. I could see that the cover of the watch was open and the watch was hooked, and hanging on a small branch. I could see the large second hand going around and around as I watched the pocket watch. (over) Vision: Then I saw a writing scroll being rolled up. Then the vision stopped. (over) |
1457. Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 16 Februari 2000, saa 4:55 usiku. Mimi niliona maono ya saa ya mfukoni. Nilikuwa naweza kuona kifuniko cha kufunikia saa hiyo ikiwa imefunguliwa na saa hiyo ikiwa imetundikwa na kuning’inizwa kwenye tawi ndogo ya mti fulani. Mimi nilikuwa naweza kuona mkono ule mkubwa wa sekunde ukiwa unazunguka tena na tena wakati mimi nilipokuwa ninaiangalia saa hiyo ya mfukoni. (Mwisho). Maono: Kisha mimi nikaona gumbo la kuandikia (ile iliyokuwa inatumika hapo kale) ikiwa inakunjwa. Kisha Maono hayo yakakoma. (Mwisho). |
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )