1458. Vision given to Raymond Aguilera on 17 February 2000 at 12:45 AM.

The Lord showed me a bull's head with long horns and a pair of black lungs. I believe it is something demonic.

Vision:

Then I saw a vision of a star with a circle around it.

Vision:

Then I saw a frog that stuck its tongue out and caught a fly.

Vision:

Then I saw a crown, the kind a king would wear. The crown had a little cross on top of it.

Vision:

Then a vision of a claw of an eagle or some kind of predator bird.

1458. Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 17 Februari 2000, saa 6:45 usiku wa manane.

Bwana alinionyeshea kichwa cha dume au fahali wa ng’ombe; akiwa na pembe ndefu pamoja na mapafu mawili yaliyokuwa myeusi. Naamini kuwa lazima inauhusiano na mambo ya kishetani.

Maono:

Kisha mimi nikaona maono ya nyota iliyokuwa imezungukwa na mviringo.

Maono:

Kisha mimi nikaona maono ya chura aliyetoa kwa ghafla ulimi wake na kumnasa nzi.

Maono:

Kisha mimi nikaona taji ya aina ile inayo valiwa wafalme. Taji hiyo ilikuwa na msalaba mdogo juu yake.

Maono:

Maono ya ukucha wa tai au wa aina ya ndege wa jamii zile za taa zinazokula nyama ya ndege au wanyama wengine.

 

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.