|
1474. Vision given to Raymond Aguilera on 1 March 2000 at 12:30 AM. The Lord gave me a vision of this road or highway made of cotton plants, with the cotton still on the plants. As I watched this cotton road before me, I could see that the cotton highway made a turn to the left farther ahead, and then the cotton road turned upwards, and it went into the sky or Heaven as far as one could see. (over) |
1474. Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 1 Machi 2000 saa 6:30 usiku. Bwana alinipa maono ya barabara fulani au barabara kuu iliyotengenezwa kwa mimea ya pamba; ambayo bado ina pamba isiyo vunwa. Nilivyozidi kuiangalia barabara hiyo iliyokuwa mbele yangu, nikaona barabara hiyo ikipinda kuelekea kushoto kwa mbele, na kisha barabara hiyo ilipinda kuelekea juu, na kuelekea angani au Mbinguni hadi kwenye upeo wa macho kuona (Mwisho). |
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )