|
1480. Vision given to Raymond Aguilera on 29 March 2000 at 7:45 PM. During prayer the Lord gave me a vision of large round cylindrical tube hanging in the air in a vertical position. As I watched this tube, a skeleton of a man fell out of the dark enter core. The human skeleton fell to the ground in an upright position holding an arrow in its left hand and shaking it up and down. Prophecy: Then the Lord said, "This means death!" Vision: Then I saw the barrel of a rifle shoot a bullet and the barrel end of the rifle exploded as the bullet left the rifle barrel. Vision: Then instantly a second rifle appeared, but this rifle had two barrels side by side, and they both let loose a bullet each. But these two rifle barrels did not explode. (over) |
1480. Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 29 Machi 2000 saa 1:45 usiku. Wakati wa maombi Bwana alinionyeshea bomba kubwa la mviringo likiwa limening’inia hewani kwa usawa. Nilivyozidi kuiangalia bomba hilo, mtu aliyekuwa mifupa mitupu akaanguka kutoka katikati ya bomba hilo; lililo kuwa na giza nene. Mtu huyo ambaye ni mifupa mitupu alianguka kwa usawa ardhini, akiwa ameshikilia mshale katika mkono wake wa kushoto na alikuwa akiitingisha juu chini juu chini. Unabii: Bwana alisema, "Hiyo inamaanisha kifo!" Maono: Kisha nikaona bomba la bunduki la aina ya raifo ikipiga risasi na mara mwisho wa bomba hilo likalipuka mara tu risasi ilipotoka kwenye bomba hilo. Maono: Kisha kwa ghafla bunduki nyingine ya aina rayfo ikajitokeza, lakini bunduki hiyo ilikuwa na bomba mbili ubavu kwa ubavu, nazo kila mmoja ikaachia risasi. Lakini bunduki hiyo ya mabomba mawili halikulipuka kule mwishoni kama ile ya bunduki ya kwanza. (Mwisho).
|
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )