|
1481. Prophecy given to Raymond Aguilera on 30 March 2000 at 6:25 AM. in Spanish. I am, I am the Fisherman. I catch all of the fish that are Mine. Yes, My son, I am the Fisherman, with the Flame of the Holy Spirit - I take My fish with the Hand of God. Yes, all is going to go to the point, with the Love of God. I am not going to leave any fish that is Mine. Yes, My son, the Love of God has arrived. To the point, I tell you the truth. All that is going to happen to this world, is going to be clear and to the point. But all of the fish are going to be in My Hands and nothing is going to happen until the date that I have chosen, comes. Did you hear Me, with your ears, with the heart, with all that is of God? Yes, My son, here comes the climate, here comes the gun, here comes the star, here comes the devil. Yes, all is clear, all is to the point. Hurry, sleep and rest, and I will call you on another day. (over) |
1481. Unabii aliopewa Raymond Aguilera tarehe 30 Machi 2000 saa 12:25 asubuhi katika lugha ya Kihispaniola. Mimi Ndimi, Mimi Ndimi Mvuvi. Mimi nakamata samaki wote ambao ni Wangu. Ndiyo, Mwanangu, Mimi ni Mvuvi, pamoja na mioto ya Roho Mtakatifu – Mimi nachukua Samaki Wangu kwa Mkono wa Mungu. Ndiyo, yote yataenda kwa uhakika, kwa Upendo wa Mungu. Mimi sitamwacha samaki yeyote yule ambaye ni Wangu. Ndiyo, mwanangu, Upendo wa Mungu umewadia. Kwa uhakika, Mimi nakuambia ukweli. Yote yale yatakayo tokea katika dunia hii, yataenda kuwa wazi na ya uhakika. Lakini samaki wote wataenda kuwa kwenye Mikono Yangu na hakuna lolote litakalo enda kutokea hadi tarehe ile niliyo ichagua, imewadia. Je, umenisikia Mimi kwa masikio yako, kwa moyo, kwa yote yale ambayo ni ya Mungu? Ndiyo, mwanangu, hiyo inakuja hali ya hewa, hizo zinakuja bunduki, hiyo inakuja nyota, huyo anakuja shetani. Ndiyo, yote ni wazi, yote ni ya uhakika. Harakisha, ukalale na kupumzika, Nami nitakuita katika siku nyingine. (Mwisho). |
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )