|
1483. Vision given to Raymond Aguilera on 2 April 2000 at 1 AM. During prayer I saw a dry creek bed with a bend in it. As I watched, I saw a large mass of water start to flow down the creek bed. Then this large mass of water changed into a flow of white light, going around the bend of the creek bed and rushing down stream.
|
1483. Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 2 Aprili 2000 saa 7 usiku. Wakati wa maombi mimi niliona maono ya mto uliokuwa umekauka ukiwa na kona. Nilivyozidi kuuangalisa niliona maji mengi yakianza kumiminika humo. Na baada ya muda maji hayo yaliyokuwa yakiminika kwa nguvu yakageuka na kuwa mwanga mweupe, na kuanza kupiga kona na kumiminika kwa nguvu; kwenda mbele kwenye mto huo.
|
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )