|
1485. Vision given to Raymond Aguilera on 5 April 2000 at 8:40 PM. I was taking a break from typing the prophecies and I was lying in bed. Then the Lord gave me a vision. I saw this enormous nuclear blast with a large mushroom cloud that looked like it was close to the ground. There seemed to be water there, but I am not sure, but I could sense the vibrations in the air, sky, and the shaking of the ground or water. I do not know if it was water or ground, but I could see the force, and I wish I could describe the watch I saw. Because one could only describe it correctly if one saw it in the spirit. It was scary. (over) Vision: Now I see a black cat with bright yellow eyes. Vision: Now I see a vision of an owl. Vision: Now I see the inside of an airplane. I can see that the side door is open and some man is throwing out some kind of spool, with the wire attached to the plane. Vision: Now I see a man flying on a shovel (like you would imagine a witch flying a broom). Well, this was a man flying a shovel. (over) Occurrence: I just heard a voice, and the voice said to run my fist through the wall. I do not believe it was God. I was just threaten, they said they were going to hang me. (over) Vision: Now, I see a golden pick wing horizontally at three black shadows and they lost their heads. (over) Vision: I see a silver looking woman's high heel shoe. The heel is so high that the woman is practically walking on her toes. (over) |
1485. Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 5 Aprili 2000 saa 2:40 usiku. Mimi nilikuwa nimeamua kupumzika kutoka kuandika makala haya ya Unabii na nilikuwa nimejilaza kitandani. Mara Bwana alinipa maono. Mimi niliona mlipuko mkubwa sana wa kinuklia ukiwa na wingu kubwa sana ya mlipuko huo ambao ulikuwa unaonekana kuwa uko karibu na ardhi. Ilikuwa inaonekana kama kulikuwa na maji karibu na mahala hapo, lakini mimi sina uhakika bali nilikuwa na hisi mtikisiko mkubwa hewani, mawinguni pamoja na mtikisiko uliokuwa ardhini au majini. Mimi sina uhakika kama ilikuwa ni maji au ardhi, lakini nilikuwa naweza kuona nguvu hiyo, laiti kama ningelikuwa na maneno ya kueleza hayo. Kwa sababu mtu anaweza kueleza kwa kinaganaga tu kama angeliona katika ulimwengu huo wa kiroho. Ilikuwa inatisha sana. (Mwisho). Maono: Sasa naona paka mweusi mwenye macho ya manjano yaliyo kuwa yanang’ara. Maono: Sasa naona maono ya bundi. Maono: Naona ndani ya ndege. Naona mlango wa pembeni wa ndege hiyo ukiwa wazi na mtu fulani akiwa ametupa chini kitu fulani kama waya uliokuwa umezungushwa kwenye kitu kama ulivyo uzi wa cherehsni na huku ukiwa umefungwa kwenye ndege hiyo. Maono: Sasa naona mtu akiwa anaruka kwa kutumia koleo au beleshi (kama inavyo dhaniwa wachawi wanavyofanya wakiwa wanaruka kwa kutumia ufagio). Naam huyu alikuwa ni mtu akiwa anaruka kwa kutumia koleo. (Mwisho). Matukio: Mimi nimesikia sauti iliyo kuwa inasema ni pige ukuta kwa ngumi. Mimi siamini kama hiyo ni sauti ya Mungu. Ni kama nilikuwa na tishwa, wao walikuwa wana sema kuwa wataninyonga. (Mwisho). Maono: Sasa naona surura hiyo ya dhahabu ikizungushwa kwa usawa na kutwanga vichwa vya vifuli hivyo vitatu na mara nikaona vifuli hivyo vikiwa vimepoteza vichwa vyao. (Mwisho). Maono: Naona maono ya viati vya mwanamke vyenye rangi ya fedha na ambavyo vina visigino virefu sana. Visigino vya viatu hivyo vilikuwa ni virefu kiasi ambacho vilikuwa vinaonekana kama mwanamke huyo alikuwa akitembelea kwa vidole gumba vya miguu yake. (Mwisho).
|
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )