1486. Occurrence given to Raymond Aguilera on 5 April 2000.

I have been resting and sensing an enormous war around me in the spirit. I have been on the computer for hours today and I am just tired. I partially see in the spirit, a spiritual encampment around my house. I can see these Angels fighting these demons or whatever they are. All I can do is lay in bed and watch.

Then the Lords says, "You are My Ambassador and I protect what belongs to Me."

I wish you could see, what I see, the power forces are hitting each other very hard. It is incredible! It looks like a major assault. Huh - It is a perfectly round circular around my house. I can hear the dogs going crazy, they are barking and barking. Maybe they can see and hear what is going on in the spirit.

Vision:

I see two empty wineglasses and a point of a pencil.

I believe these dark forces are retreating, for everything seems to be claming down.

Vision:

I see this large snake with its mouth open. I believe it is eating something dark, for I cannot see any fangs.

I guess, I will get back to work. (over)

1486. Matukio aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 5 Aprili 2000.

Mimi nimekuwa nikipumzika na huku nikiwa na hisi vita vikubwa sana kunizunguka mimi katika ulimwengu wa kiroho. Mimi nimekuwa kwenye kompyuta yangu kwa masaa kadhaa leo, nami nikawa nimechoka sana. Mimi kwa sehemu naona ngome ya Malaika wakiwa wamezunguka nyumba yangu na huku wakiwa wanapigana na mapepo wachafu au sijui kitu gani. Ninacho weza kufanya ni kujilaza na kuangalia yale yote yanayotokea.

Kisha Bwana akasema “Wewe ni Balozi Wangu nami na linda kile ambacho ni Changu.”

Natamani uone kile ninacho kiona, jinsi majeshi hayo mawili yanavyo twangana yenyewe kwa yenyewe kwa nguvu. Inatisha kweli! Inaonekana ni mapambano ya mwisho mwisho ya kufa na kupona. Loo – yako kwenye mduara halisi kuzunguka nyumba yangu. Mimi nasikia mbwa wakiwa wanapiga kelele kwa nguvu kubwa sana sana, wao wakiwa wanabweta na kubweta. Labda wao wana uwezo wa wakuona na kusikia yale yanayoendela katika ulimwengu wa kiroho.

Maono:

Naona glasi mbili za kunywea mvinyo zilizo kuwa tupu na ncha ya penseli.

Naamini wale mapepo wabaya wakiwa wanarudi nyuma, naona kila kitu kikiwa kinatulia na kuwa shwari.

Maono:

Naona joka fulani mkubwa akiwa na mdomo ulio kuwa wazi. Naami anakula kitu fulani kilicho kuwa cheusi, kwa maana sioni meno yake ya sumu.

Nadhani nitarudi tena kazini. (Mwisho).

 

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.