1490. Occurrence given to Raymond Aguilera on 11 April 2000 at 5:30 AM.

I was awaken to a strong smell of cantaloupe. My nose was full of this cantaloupe odor and the Lord said, "Get-up and eat some cantaloupe". So at 5:30 in the morning I got up and ate some cantaloupe that my brother had purchased. Then I went back to bed. (over)

1490. Matukio aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 11 Aprili 2000 saa 11:30 asubuhi.

Mimi niliamshwa na kuanza kusikia harufu kali ya tikiti maji. Pua yangu ilikuwa imejaa harufu ya tikiti maji na Bwana akasema, "Amka ule tikiti maji". Kwa hiyo ilipofika saa 11:30 alfajiri niliamka na kula kipande cha tikiti maji ambayo kaka yangu alikuwa ameninunulia. Kisha nikarudi kitandani kuendela na kulala. (Mwisho).  

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.