1491. Vision given to Raymond Aguilera on 11 April 2000 at 5:30 AM.

I saw the Lord's Hand holding a string like material. Then the Lord wrapped it around a smooth stick of bamboo. Then the Lord tighten the string, and then released the string. This left that little knob or knobs that you see on the stem of bamboo. I do not know what it means, but I keep seeing it over and over.

1491. Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 11 Aprili 2000 saa 11:30 asubuhi.

Mimi niliona Mkono wa Bwana ukiwa umeshikilia kitu kama uzi. Kisha Bwana akauzungushia kwenye fimbo ile iliyo kuwa mwororo ya mti wa mwanzi. Kisha Bwana akaukaza uzio na kisha akauachia uzio huo. Hii iliachia fundo au mafundo kama ile huwa inayoonekana kwenye mti wa mmea wa mwanzi. Mimi wala sielewi inamaanisha nini, lakini mimi nikawa ninaiona tena na tena.

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.