|
1493. Vision given to Raymond Aguilera on 15 April 2000 at 3:20 AM. I had a vision of a trail of Blood from Heaven moving from side to side, as it flowed downwards. As I watched, this Blood formed these elliptical shaped hand held calipers. Vision: Then I saw these ocean waves. As I watched these waves, I could see Three Triangular Waves come together (like three walls) over and over. They would come up from the water surface, and when the Three Waves came together they began to rise up to a single point over and over. Vision: I saw a vision of a fish swimming upside down. (over) |
1493. Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 15 Aprili 2000 saa 9:20 usiku. Mimi nilikuwa na maono ya mchiriziko wa Damu kutoka Mbinguni ukiwa unaenda huku ukiwa unayumba upande huu na ule wakati ilipokuwa inamiminika kuja chini. Nilipokuwa ninaiangalia Damu hiyo ilitengeneza muundo wa mkasi wa mkononi ulio na sura ya mwezi mdogo. Maono: Kisha nikona mawimbi ya baharini. Nilivyo kuwa nikiangalia mawimbi hayo, nilikuwa naweza kuona mawimbi yaliyo kuwa katika sura ya Pembe Tatu Mramba Tatu; zikiungana pamoja (kama ukuta) tena na tena. Zilikuwa zinakuja kutoka kwenye usawa wa maji, na pale Mawimbi hayo matatu yanapo kutana pamoja yananyanyuka na kuunda sehemu mmoja ya juu tena na tena. Maono: Mimi niliona maono ya samaki aliye kuwa anaogelea kichwa chini. (Mwisho).
|
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )