1495. Vision given to Raymond Aguilera on 15 April 2000 at 4 AM.

The Lord gave me a vision of what I believe was a large church. I could see some priests or elders sitting in chairs around the altar. And in one of these chairs, I could see this big fat pig larger than the chair. Then along the side of the wall of the church, I could see some more chairs arranged, like what you would see in a jury box in court, but priests were setting in them. I could see a hooded man wearing a robe, he reminded me of the angel of death. (over)

Vision:

I saw four very hairy elephants, their hair almost came down to the ground, and it looked like the hair parted down the middle of their backs. I could see them walking down this trail. (over)

1495. Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 15 Aprili 2000 saa 10 usiku.

Bwana alinipa maono ya kitu ninacho amini kuwa ni kanisa mmoja kubwa. Mimi nilikuwa naweza kuona makasisi au wazee wakiwa wamekaa kwenye viti kuzunguka madhabahu hayo. Na katika kiti kimoja amekaa nguruwe huyu mkubwa aliye nenepeana kiasi ambacho alikuwa mkubwa kuliko kiti chenyewe. Kisha kwenye kuzunguka ukuta wa Kanisa hilo, nilikuwa naweza kuona viti zaidi vikiwa vimepangwa kama ilivyo viti vya wazee wa baraza kwenye mahakama. Lakini walikuwa wamekaa makasisi kwenye viti hivyo. Mimi nilikuwa naweza kumwona mtu fulani aliyevaa kanzu iliyo na kifuniko cha kichwa na kilikuwa kimefunika kichwa chake, yeye alinikumbusha malaika wa kifo. (Mwisho).

Maono:

Niliona tembo wanne waliojaa manywele mwili mzima, manywele hayo nikama yalikuja hadi karibu na ardhi. Ilikuwa inaonekana kama nywele zilikuwa zinatoka kwenye sehemu iliyokuwa nusu ya miili yao. Nilikuwa naweza kuwaona wakiwa wanatembea kwenye kinjia fulani kilicho kuwa kinatelemka. (Mwisho).

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.