| 203. Vision:
at 1:13 PM. 5 September 1992. I saw a top of a mountain. It was flat on top and it exploded with an intense light. An incredible white light came out of the top of the mountain. It either came out of the top of the mountain or it landed on the top of the mountain, but what was on top of this mountain was an incredible, unbelievable white light. For some reason this mountain was flat on top.
|
203. Maono:
saa 7:13 mchana tarehe 5 Septemba 1992. Niliona kilele cha mlima. Kilele chake hicho kilikuwa ni tambarare pale juu na mara kilele hicho kikalipuka na kutoa mwanga mkali sana. Mwanga mweupe mkali sana ukajitokeza juu ya kilele hicho cha mlima, au labda mwanga huo ulitua juu ya kilele hicho cha mlima, lakini kilicho kuwa juu ya kilele hicho cha mlima kilikuwa ni mwanga wa ajabu, mkali sana na wa kutisha sana; kiasi ambacho huwezi kuamini. Kwa sababu ambazo mimi sielewi pale juu ya kilele hicho cha mlima palikuwa tambarare kabisa.
|
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.B.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza vitabu vya unabii Bonyeza
kwenye picha ya kitabu hapa chini

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiwa
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )