241. Vision given to Raymond Aguilera on 3 December 1992 at 2:15 PM.

I see a black hat. It looks like a derby with a round top. It's all black with a little hole in the front, it's on the lower left, about one half an inch from the rim, or one-third from the bottom. There is light coming out of it. I don't see the hole going all the way through. Just light coming from the hole in the front.

241. Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 3 Desemba 1992, saa 8:15 mchana.

Naona kofia nyeusi. Inaonekana kama ile inayovaliwa na waendesha mafarasi wa mashindano, ikiwa ya mviringo kwa juu na ikiwa na uwazi au tundu kwa mbele, kwenye upande wa chini kushoto, kama upenyo wa nusu inchi kutoka kwenye mdomo wake au theluthi mmoja kutoka matakoni. Kulikuwa na mwanga uliokuwa unatokea ndani mwake. Sioni tundu lolote iliyoingia ndani humo. Ila tu mwanga ulikuwa unatokea kutoka ndani ya tundu hilo kwa mbele.

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.B.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza vitabu vya unabii Bonyeza kwenye picha ya kitabu hapa chini

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiwa


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.