279. Prophecy and Vision given to Raymond Aguilera on 26 January 1993 at 9:30 PM.

Vision:

I had a vision in church, I saw a mountain, and then another identical one. Then both mountains fused together.
 

 

Prophecy:
On the way home from church the Lord said: "They represent the spiritual world, and the real world. They are going to fuse. The War in the Heavens, and the War on the planet Earth are going to become one." That was the interpretation of the vision.

279. Unabii na Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 26 Januari 1993, saa 3:30 usiku.

Maono:

Mimi niliona maono kanisani, Niliona mlima, na kisha mlima mwingine unaofanana na huo wa kwanza. Na kisha milima hiyo miwili iliunganika kuwa mlima mmoja.
 

 

Unabii:
Wakati narudi kutoka kuhudhuria misa kanisani; Bwana akaniambia: “Maono hayo ya milima hiyo miwili yanonyesha ulimwengu wa roho na ulimwengu wa mwili. Vita vya Mbinguni na Vita vya Sayari hii ya Dunia vitaenda kuwa vita mmoja." Hiyo ndiyo tafsiri ya maono hayo.

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiwa


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.