|
416. Vision
given to Raymond Aguilera on 13 March 1994. I saw a vision of a mountain with some sort of large ring around the top third of the mountain. Then the Lord pulled the ring in a horizontal direction and cut the mountain in two leaving the mountain flat on top.
|
416. Maono
aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 13 Marchi 1994. Niliona maono ya mlima uliovalishwa kitu kama pete kubwa sana kiasi cha theluthi mmoja kutoka kilele cha mlima. Kisha Bwana akavuta pete hiyo kwa usawa na kuukata mlima sehemu mbili kwenye eneo hilo la juu na kuucha mlima ukiwa bapa kwa juu.
|
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )