|
441. Vision
and Prophecy given to Raymond Aguilera on 23 April 1994 at 9:30 PM. in
English. During church service the Lord showed me a vision of a tall slender glass filled with water, and above this glass there was a dark cloud.
Prophecy: The Lord explained the dark cloud: "I will deliver My Church from My Cup, from all darkness, from all evil. Mark My Words, I will deliver My Church; I will remove the cloud; I will remove all darkness from the Body of My Church."
|
441. Maono
na Unabii aliopewa Raymond Aguilera tarehe 23 Aprili 1994, saa 3:30 usiku
katika lugha ya Kiingereza. Wakati wa Misa Bwana alinionyeshea maono ya bilauri au gilasi nyembamba ndefu ikiwa imejazwa maji, na juu ya glasi hiyo kulikuwa na ukungu au wingi jeusi.
Unabii: Bwana alinieleza kuhusu wingu hilo jeusi: "Mimi nitaliokoa Kanisa Langu kutoka kwenye Kikombe hicho, kutoka giza lote, kutoka kwenye maovu yote. Kumbuka Maneno Yangu, Mimi nitaliokoa Kanisa Langu; Mimi nitaliondoa wingu hilo jeusi; Nitaondoa giza lote kutoka kwenye Mwili wa Kanisa Langu."
|
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )