442. Vision given to Raymond Aguilera on 27 April 1994 at 10 AM.

A vision of a whirlwind with a the black center. Somehow, I was seeing it from high above in the air. Everything outside of the whirlwind was normal in color, but what doesn't make sense to me was the sky on the outside of the whirlwind. For it was black red with areas of pink. I was seeing the solid black color of its core move over the ground from high above. (over)

 

442. Maono aliyopewa Raymond Aguilera tareh 27 Aprili 1994, saa 4 asubuhi.

Maono kimbunga kilichokuwa na uweusi katikati. Mimi ni kama nilikuwa naiangalia kutoka juu angani. Kila kitu nje ya kimbunga kile kilikuwa kinaonekana kuwa na rangi ya kawaida, lakini nilichoshindwa kukielewa ni kuhusu mawingu nje ya kimbunga hicho. Kwa maana mawingu yalikuwa na rangi ya nyeusi iliyo na uwekundu yakiwa na maeneo yenye rangi ya pinki. Mimi nilikuwa naona ile sehemu iliyokuwa ni nyeusi tii kabisa kwenye kiini chake kutoka angani, hiyo sehemu nyeusi tii ilikuwa inatembea juu ya ardhi.

 

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.