466. Vision given to Raymond Aguilera on 7 June 1994 at 11:09 AM

A vision of a white candle with a black flame. It was sitting on some sort of irregular shape mound of material I have never seen before.

 

466. Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 7 Juni 1994, saa 5:09 asubuhi

Maono ya mshumaa mweupe uliokuwa unawaka moto mweusi. Ulikuwa umekaa juu ya kitu kama rundo au mlima ambao haukuwa na umbo lililosawa wa aina ya kitu kama mchanga, ambao ni wa aina ambayo sijawahi kuiona hapo kabla.

 

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.