493. Prophecy and Vision given to Raymond Aguilera on 24 June 1994 at 4:50 AM.

I had a vision of a ship.


Prophecy:
Then the Lord said, "Your ship has come in."

Vision:
Then I saw the ship again. A gray battle ship moving through a thin clear plastic sheet or barrier. I could see that the plastic sheet was larger than the ship as the ship was breaking through it like a fence.

Vision:
Then I saw the capital letter F, and then the vision stopped.

Vision:
Later, I saw a vision of a coil with balls in the coil. The balls were as large as a man's head. It looked like the first ball was being eaten or kissed by this man for some reason. All these balls were equally spaced from each other.

 

493. Unabii na Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 24 Juni 1994, saa 10:50 alfajiri.

Mimi niliona maono ya meli


Unabii:
Kisha Bwana akasema, "Meli yako imewadia."

Maono:
Kisha nikaona meli tena. Meli ya kijeshi yenye rangi ya kijivujivu ikipita ndani au katikati ya kitu kama kipande kikubwa cha plasti angavu ambayo inapenyeza mwanga. Nilikuwa naweza kuona kuwa kipande hicho cha plastiki kilikuwa ni kubwa kuliko meli yenyewe wakati meli ilipokuwa inapita na kuivunja plasti hiyo kama kama inavyo vunja uzio wa fensi.

Maono:
Kisha nikaona herufi kubwa ya F, na kisha maono hayo yalisimama.

Maono:

Baadaye, niliona maono ya kitu kama wiya ulio kunjwa kunjwa ukiwa na mipira ndani yake. Mipira hiyo ilikuwa mikubwa kama kichwa cha mtu. Ilikuwa inaonekana kana kwamba mpira ule wa kwanza ni kama unatafunwa au unaliwa au kupigwa busi na mtu fulani kwa sababu fulani. Mipira hiyo yote iliwekwa umbali fulani kutoka kwa mwenziwe na ilikuwa na umbali ulio sawaswa.

 

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.