|
605. Vision given to Raymond Aguilera on 12 October 1994 at 9:50 PM. During prayer I saw an eye. Then the pupil of the eye changed into a whirlwind. It was spinning in a clockwise direction. As I watched I saw the center rise up with the outer edge. It reminded me of an angel food baking pan as it kept spinning.
|
605. Maono
aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 12 Oktoba 1994, 3:50 mchana. Wakati wa sala mimi niliona jicho. Kisha mtoto wa jicho hilo likabadilika kuwa kimbunga. Kimbuka ambacho kilikuwa kikizunguka kwa kufuata mkono wa saa yaani kutoka kushoto kuelekea kulia. Nilivyozidi kukiangalia nikaona katikati ya kimbunga hicho ikinyanyuka pamoja na miisho ya pembeni yake. Wakati ikiwa inazunguka ilinikumbusha chombo cha kuokea maandazi iitwayo “angel baking pan”.
|
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )