|
642. Vision
given to Raymond Aguilera on 19 November 1994 at 5:56 AM. A vision of a ship. I believe it is an aircraft carrier with the front of it blown off. It looked like a large animal with a big mouth had just bitten off the whole front end of the ship. The ship isn't sinking, but the front of it got hit or destroyed just above the water line. (over) |
642. Maono
aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 19 Novemba 1994, saa 11:56 asubuhi. Maono ya meli. Mimi ninaamini ni meli ya kubebea ndege za kivita, ikiwa na sehemu yake ya mbele iliyobomolewa. Ilikuwa inaonekana kama mnyama mkubwa sana aliye na mdomo mkubwa ameing’ata hiyo sehemu ya mbele ya meli hiyo. Meli hiyo haikuwa kwenye hatari ya kuzama, lakini eneo la mbele yake ilikuwa inaonekana kama imegongwa na kuharibiwa kwenye eneo lilokuwa juu kidogo ya usawa wa maji. (Mwisho).
|
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )