803. Prophecy and Vision given to Raymond Aguilera on 23 September 1995 at 8:30 PM.

During praise and worship the Lord showed me an elongated round copper tub with about 6 inches of water in it, with seven women standing inside soaking in the water. The water line was only above their ankles. The women could only be seen from their knees down to the water line.

 

803. Unabii na Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 23 Septemba 1995 saa 2:30 usiku.

Wakati wa kusifu na kuomba Bwana alinionyeshea kitu kama beseni kubwa ya shaba ambayo ni ya mviringo, iliyokuwa na maji ambayo yamejaa kiasi cha inchi 6 ndani ya baseni hiyo, ikiwa na wanawake saba wakiwa wamesimama ndani ya beseni hiyo yenye maji. Maji hayo ndani ya beseni hiyo yalikuwa yamefika kiasi cha kwenye fundo la miguu yao. Wanawake hao walikuwa wanaonekana kuanzia kwenye magoti hadi chini kwenye usawa wa maji hayo.

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.