|
808. Vision
given to Raymond Aguilera on 3 October 1995 at 12 noon. The Lord showed me an iceberg.
The Lord said, "You see this iceberg?" I said, "Yes." "Do you see the TOP OF IT?", He said. I said, "Yes." He said, "That is the Body of My Son that people know. Look under the water. That's the real church. The part that's underwater. I am going to awaken it. I am going to direct it, and I am going to use it with the Power of the Holy Spirit, with the Power of Jehovah, with the Power of My Son. This is the Great I am I am, I am I am, I am I am." (over) |
808. Maono
aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 3 Oktoba 1995, saa 6 mchana. Bwana alinionyeshea mlima wa theluji baharini.
Bwana akasema, "Unauona huo mlima wa theluji?" Mimi nikasema, "Ndiyo." "Je, unaona KILELE CHAKE?" Yeye akasema. Mimi nikasema, "Ndiyo." Yeye akasema, "Huo ndio Mwili wa Mwanangu ule ambao watu wanao ufahamu. Angalia chini ya maji. Hiyo ndiyo kanisa halisi. Sehemu ile ambayo iko chini ya maji. Mimi ninaenda kuiamsha. Mimi ninaenda kuielekeza, nami ninaenda kuitumia kwa Nguvu za Roho Mtakatifu, kwa Nguvu za Yehova, kwa Nguvu za Mwanangu. Huyu ni Yule, Mimi Ndimi, Mimi Ndimi, Mimi Ndimi, Mimi Ndimi, Mimi Ndimi Mimi Ndimi Mkuu." (Mwisho). |
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )