|
811.
Prophecy: Then the Lord said, "This prophecy is for the Body of Christ. I am bringing My Body together. I am bringing in the corrupt members of the Body that have sin and are contaminated in with the good sheep and I am going to clean them up." Comments: What struck me in this vision was the sovereignty of God, and in how we see things with our eyes. We think things are going to be one way (dark batter), but with the Lord it went the other way (white batter changed the darkness to white). He cleaned up whatever went into the mixing bowl as it was being mixed (not what we would expect). He showed me that He thinks differently, in Heavenly ways, and we think with the mind of the world. He is going to clean His bad sheep in the mixing bowl with the good ones, and the batter is going to become WHITE. This was VERY VERY ODD seeing it in the spirit. (over) |
811. Unabii: Kisha Bwana aksema, "Unabii huu ni kwa ajili ya Mwili wa Kristo. Mimi ninauleta Mwili Wangu pamoja. Mimi ninawaleta wale wengine ambao siyo waaminifu katika Mwili wa kristo wale walio na madhambi, na ambao wamechafuka pamoja na wale kondoo walio wazuri Nami ninaenda kuwasafisha wao." Ilani:
Kilichonigusa zaidi katika maono hayo ilikuwa ni Mamlaka ya Mungu, na sisi
tunavyoona mambo katika macho yetu (ya kimwili). Sisi tunadhania mambo
yangelienda kwa njia fulani tunayojua (jibini nyeusi), lakini kwa Bwana
inaenda kwa njia nyingine ambapo sisi hatudhanii ingelienda kwa njia hiyo. (Jibini
nyeupe inabadilisha ule uweusi na kuwa uweupe). Yeye alisafisha kila kitu
kilicho ingia kwenye hiyo sahani au bakuli ya kuchanganyia; wakati ikiwa
inachanganywa (na wala siyo kile sisi tunacho kitarajia). Yeye alikuwa
ananionyeshea kuwa yeye anafikiria vingine, kwa njia ya Ki-Mbinguni, nasi
tunafikiria kwa mawazo ya kidunia. Yeye anaenda kuwasafisha kondoo wake
wabaya katika bakuli lile la kuchanganyia, kwa kutumia wale walio wazuri
yaani jibini ile nyeupe na jibini hiyo bado inaenda kuwa NYEUPE. Hii ilikuwa
ni cha AJABU KWELI KWELI kuiona katika ulimwengu wa kiroho. (Mwisho).
|
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )