|
819.
Occurrence Then toward the end of this FGBMFI meeting a large black man, I believe he is a pastor began to sing. He was given the microphone to give a testimony or praise report, but then he began to sing because he is a good singer and likes to sing. Then the Lord began to show me that he was doing it for himself and for the praise and glory. Though, he was singing Christian songs, and people were really being touched, and being ministered to. He wasn't going to receive his reward in heaven because he was doing it for himself and not for the Lord. The Lord was telling me that his only reward would be the hand clapping of the audience. That he was doing it all for the praises of man. (over) |
819.
Matukio. Baadaye kwenye mwisho wa mkutano wa FGBMFI, mtu mmoja mkubwa mweusi, nadhani yeye ni mchungaji akaanza kuimba. Yeye akawa amepewa kipaza sauti ili atoe ushuhuda au sifa, lakini yeye akaanza kuimba kwa kuwa yeye ni mwimbaji mzuri na hupenda kuimba. Kisha Bwana akanionyeshea kuwa, alikuwa anafanya hivyo kwa ajili yake mwenyewe, kwa ajili ya sifa na utukufu wake. Ingawa alikuwa anaimba nyimbo za Kikristo, na watu walikuwa wanaguswa kweli, na walikuwa wanahudumiwa pia. Yeye asingelienda kupokea zawadi yake kwa sababu alikuwa anajifanyia yeye mwenyewe na wala hakuwa akimfanyia Bwana. Bwana akaniambia kuwa zawadi pekee atakayopata itakuwa ni ile ya kupigiwa makofi na wasikilizaji. Nayakuwa hayo yote anayafanya kwa ajili ya sifa za kibinadamu. (Mwisho). |
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )