|
836. Vision
given to Raymond Aguilera on 16 December 1995 at 9:42 AM. A vision of something picking up. It looked almost like when you pinch your loose skin and pull it up. The surrounding ground of the planet went toward a point and lifted up into the sky. It lifted higher than the diameter of the earth.
|
836. Maono
aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 16 Desemba 1995, saa 3:42 asubuhi. Maono ya kitu fulani kikiwa kinainyofoa (ngozi ya dunia). Ilikuwa inafanana sana na kama una nyofoa ngozi yako ambayo haikufungwa na kuinyanyua kwenda juu. Ardhi inayoizunguka eneo hilo la dunia ilienda juu hadi mahala, na kisha kwenda juu angani. Ilinyanyuka kwenda juu zaidi ya kipenyo cha mviringo wa dunia. Ardhi ilienda hadi mahala fulani na kisha ikanyanyuka kwenda juu.
|
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )