|
876. Vision
and Prophecy given to Raymond Aguilera on 14 March 1996 at 3 AM. Vision: The Lord showed me the map of Japan with a castle at the northern part of Japan. Prophecy: Then the Lord said, "Japan is one of the ten horns (kingdoms) of the Antichrist from the Book of Revelations. Japan will unite with the other nine and attack Babylon in one hour". (over)
|
876. Maono
aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 14 Machi 1996, saa 9 usiku. Maono: Bwana alinionyeshea ramani ya Japan pamoja na Ngome iliyokuwa sehemu za kaskazini ya nchi hiyo ya Japan. Unabii: Bwana akasema, "Japan ni mmoja ya pembe kumi (falme) ya Mpinga Kristo kutoka kwenye kitabu cha Ufunuo. Japan itaungana na wale wengine tisa na kumshambulia Babyloni katika saa mmoja". (Mwisho).
|
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )